Kitu kimoja ambacho kijana unabidi usicheze nacho katika maisha yako ni Malengo yako. Nini malengo yako?Hatua gani unazifanya kumitiza malengo yako?Ni hatua gani unafanya kutimiza malengo?


Katibu Tawala wa Wilaya ya Kinondoni Mh.. Stellah Ewald Msophe, Kiongozi aliyetupa ushirikiano kwenye kipindi chetu cha maslahiyavijana kinacholetwa kwenu na ICCAO na kurushwa na¬†@MtanzaniaDigital¬†hakika ni kiongozi wa kuigwa kwa mfano tosha ndani ya jamii maana alitufundisha mengi juu ya Read more…

Categories